Hazina ya Kitaifa imewahakikishia waliostaafu na watumishi wa umma kwamba fedha zao za pensheni na marupurupu ya kustaafu yako salama, ikitaja sera kali na mageuzi ya mfumo ili kulinda akiba na kuhakikisha malipo kwa wakati. Akiwa mbele ya Kamati ya Fedha ya Bunge la Kitaifa, Waziri wa fedha John Mbadi pia alitetea Hazina ya Kitaifa ya Miundombinu iliyopendekezwa, akisema itasaidia kufadhili miradi mikubwa ya maendeleo na kubadilisha miundombinu ya nchi.
JOHN MBADI - PENSION