Kiongozi wa chama cha TSP Mwangi Kiunjuri amesisistiza kwamba chama hicho hakitavunjwa ili kujiunga na chama tawala cha UDA. Kiunjuri alisema TSP, hata hivyo, itaunga mkono azma ya Rais Ruto ya kuchaguliwa tena katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, akibainisha kuwa chama hicho kimejitolea kufanya kazi na vikundi vingine vya kisiasa ndani ya serikali pana.
MWANGI KIUNJURI - IMARA