Mwenyekiti wa SRC Sammy Chepkwony amezipa changamoto taasisi za umma kuiga Kenya Power kwa kuanzisha mikataba ya usimamizi wa utendakazi kwa wafanyakazi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo la Kenya Power, Chepkwony alisema kuwajumuisha wafanyakazi wa vyama vya wafanyakazi katika mikataba ya utendakazi kutaimarisha uwajibikaji, kuboresha uzalishaji na kukuza utamaduni unaozingatia utendakazi katika utumishi wa umma.
SAMMY CHEPKWONY - COMMEND