Mwamuzi wa CAF, Omar Artan, amealikwa kuhudhuria Kozi ya Wanaume ya UEFA ya Majira ya Joto mwaka 2026 huko Geneva, Uswizi kuanzia tarehe 31 Agosti hadi 2 Septemba. Kupitia barua rasmi kwa CAF na FA ya Somalia, UEFA pia imeonyesha kwamba wanataka Omar asimamie mechi za soka barani Ulaya. Omar alikataliwa kuingia Marekani kuchezesha kombe la dunia lililomalizika hivi punde kwa madai ya kuhusishwa na makundi ya kigaidi. Hata hivyo, aliendelea kuchezesha Kombe la Super Cup la UEFA la mwaka huu, kati ya PSG na Aston Villa.
Vipindi vya ang akavu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tebelea tovuti ya radiojambo.