Aliyekuwa Katibu Mkuu wa KNUT, Wilson Sossion, kwa sasa yuko mbele ya Kamati ya Elimu ya Bunge ili kuhojiwa baada ya kuteuliwa kwake kama kamishna wa TSC. Sossion aliteuliwa na Rais William Ruto pamoja na Mkurugenzi wa wafanyikazi wa TSC, Antonina Lentoijoni ili kubaini kufaa kwao.
WILSION SOSSION – VETTING