Rais William Ruto amewapa maafisa wa serikali ya kitaifa na kaunti wiki moja kutafuta suluhisho la mgogoro unaoathiri ajira ya wafanyakazi wa UHC kwa masharti ya kudumu na ya Pensheni. Akizungumza mwishoni mwa Mkutano wa Afya wa Kenya, Rais Ruto alitaka kukomeshwa kucheleweshwa kuwalipa wafanyakazi wa afya na akasema serikali ya kitaifa iko tayari kuingilia kati inapobidi.
WILLIAM RUTO - SORT