Kiongozi wa Chama cha People's Party, Ndindi Nyoro, amewataka wakaazi wa Murang’a kukumbatia uvumilivu wa kisiasa na kuwakaribisha viongozi wote wanaotafuta kura zao kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza mjini Murang’a, Mbunge huyo wa Kiharu alisema atafanya kazi na viongozi wa upinzani katika azma yake ya kumfanya Rais William Ruto kuwa rais wa muhula mmoja. Nyoro alisema upinzani utatoa suluhu kwa changamoto zinazoikabili nchi.

NDINDI NYORO-WELCOME