Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Ahmed Abdullahi amekataa mapendekezo ya kurudisha kazi za afya kwa serikali ya kitaifa. Akizungumza katika Mkutano wa Afya wa Kenya jijini Nairobi, alisema changamoto kama vile kuchelewa kwa utoaji wa fedha za kaunti, ukosefu wa usalama ni za kimfumo na zinaweza kushughulikiwa kupitia ushirikiano imara kati ya serikali za kitaifa na serikali za kaunti.


AHMED ABDULLAHI - SYSTEMIC