Baraza la Magavana limeibua wasiwasi kuhusu mgongano wa maslahi na utendaji kazi wa pande mbili usioidhinishwa miongoni mwa madaktari wa sekta ya umma ambao hupuuza majukumu yao ya kugatuliwa, kufanya kazi katika vituo vya kibinafsi. Akizungumza katika Mkutano wa Afya wa Kenya jijini Nairobi, Mwenyekiti wa baraza la magavana Ahmed Abdullahi alisema sio haki na ni kinyume cha maadili kwa madaktari wanaolipwa na walipa kodi kuacha hospitali za umma wakati wa saa za kazi rasmi kwa ajili ya kufanya kazi za kibinafsi, na hivyo kuathiri huduma za afya.
AHMED ABDULLAHI - FAIR