Kiongozi wa chama cha PLP, Martha Karua, amewaonya viongozi wa kisiasa wa Kenya dhidi ya kutumia vitisho na vurugu kushawishi Uchaguzi Mkuu wa 2027, akisema shindano hilo linapaswa kuamuliwa kwa mawazo na kura. Akihutubia vyombo vya habari kwa niaba ya Muungano wa upinzani, Karua alisema Wakenya lazima waweze kufanya kampeni, kukusanyika na kupiga kura bila woga huku vyama vya siasa vikijipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao wa kitaifa.
MARTHA KARUA - CONTEST