Kiongozi wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua anazuru Kaunti ya Murang’a leo huku akijitahidi kuimarisha uwepo wa chama hicho mashinani. Anatarajiwa kufungua ofisi ya DCP mjini Murang’a kabla ya kuendelea hadi masoko ya Kangari na Kandara kama sehemu ya Ziara yake. Hii inakuja siku moja baada ya Mbunge wa Kiharu na kiongozi wa Chama cha People’s Party of Kenya, Ndindi Nyoro, kufanya hafla ya kukaribisha wageni, ambapo aliwasihi wakaazi wa Murang’a kuwakaribisha kwa uchangamfu viongozi wa upinzani wanaotembelea kaunti hiyo.
Advertisement
August 20, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing