Chama cha wamiliki wa Baa,na Mikahawa nchini kimeonya kwamba vikwazo vilivyopendekezwa kwenye bidhaa za tumbaku zenye ladha na nikotini vinaweza kuongeza soko haramu. Perak inasema kupiga marufuku ladha kwenye sigara, vape na mifuko ya nikotini kunaweza kuathiri biashara halali na kupunguza mapato ya serikali. Chama hicho kimeitaka Kamati ya Afya ya Bunge la Kitaifa kufanya ushiriki wa umma kitaifa kabla ya Muswada huo kujadiliwa Bungeni.

MICHAEL KIRAGU - IMPACT