Kocha mkuu wa Gor Mahia, Charles Akannor, anasema alishangazwa na madai ya beki Siraj Mohammed ya kuondoka klabuni humo licha ya kuwa katika mipango yao msimu huu. Siraj ambaye alijiunga na KO´gallo kutoka Bandari msimu uliopita alihamia KCB kwa mkopo mwezi Januari akitafuta muda zaidi wa kucheza. Alirudi Gor msimu huu na alicheza nafasi ya pili katika Kombe la CEACA mapema mwezi huu. Hata hivyo, inasemekana aliomba kuondoka chini ya hali isiyoeleweka licha ya Akannor kulaumiwa kwa kumtenga. Huyu hapa Akannor.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.