Serikali imetoa shilingi bilioni 4 kusaidia kujifungua salama kwa kina mama katika vituo vya afya vya Level 2 na 3. Waziri wa Afya Aden Duale anasema serikali imejitolea kupunguza vifo vya kabla na baada ya kujifungua kupitia hatua ikiwemo upimaji kutoka kaunti hadi kaunti. Kaunti ishirini na sita zimetambuliwa kuwa na mzigo mkubwa wa vifo vya kinamama.

ADEN DUALE-PROVIDE