Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro anatarajiwa kuanza kukipigia debe chama chake kipya cha People's Party of Kenya leo, akianza na ziara ya Kaunti ya Murang'a. Ziara hiyo inakuja siku moja baada ya kuzindua chama hicho na kutangaza kujiondoa kutoka chama tawala cha UDA ili kujiunga na upinzani.
Advertisement
August 19, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing