Chama cha madaktari Nchini KMPDU kinasema sekta ya afya imerekodi kuboreka chini ya utawala wa sasa, hasa katika kutumwa na kulipwa kwa wahudumu wa afya walio kwenye mafunzo. Katibu mkuu Davji Atellah anasema wahudumu hao sasa wametumwa bila maandamano na hupokea mishahara yao katika mwezi wa kwanza. Atellah anasema mabadiliko haya yanaashiria maendeleo katika kurekebisha kasoro ambazo hapo awali zilikubaliwa kama kawaida katika sekta ya afya nchini.

DAVJI ATELLAH – POSTING