Baadhi ya viongozi wa Mlima Kenya Mashariki wamemkosoa kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua, wakimtuhumu kwa kuwadhoofisha viongozi wa kikanda. Wakizungumza huko Machanga, Mbeere Kusini, viongozi hao, wakiongozwa na Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku, waliwahimiza wakaazi kuungana na kupanga njia yao ya kisiasa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. 

VOX POP - KINDIKI