Wito wa kulaani machafuko yaliyoharibu mkutano wa hadhara wa Linda Mwananchi huko Homa Bay umeongezeka, huku vijana wa kaunti hiyo wakitaka baadhi ya viongozi wa eneo hilo wawajibishwe. Walionya kwamba kushindwa kuchukua hatua zinazofaa kunaweza kuitumbukiza nchi katika machafuko wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Licha ya kile walichokiita vitisho, vijana waliapa kuendelea kuunga mkono vuguvugu hilo linaloongozwa na Edwin Sifuna.
VOX POP-SUPPORT