Mbunge wa Ndia, George Kariuki, amekosoa vita vya maneno vinavyoongezeka kati ya Naibu Rais Kithure Kindiki na Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, akionya kwamba ushindani wao unaweza kuongeza mgawanyiko wa kisiasa katika eneo la Mlima Kenya. Kariuki pia amewalaani viongozi wanaochochea mgawanyiko wa kisiasa katika eneo hilo, akiwahimiza viongozi wa Mlima Kenya kuungana na kuzungumza kwa sauti moja.

 

GEORGE KARIUKI-UNITE