Polisi mjini Kisumu wanawazuilia washukiwa 15 wa genge kufuatia operesheni iliyoongozwa na ujasusi kwenye ya barabara kuu ya Kisumu-Kericho. Wapelelezi walikamata magari matatu na kupata mapanga, visu, kamba, fimbo ya chuma na simu za mkononi. Washukiwa hao wanashughulikiwa kwa ajili ya kufikishwa mahakamani. Hata hivyo, wapelelezi bado wanamfuatilia mshukiwa kiongozi wa genge hilo, aliyetambuliwa kama Oliver Jaoko, almaarufu Oliveti, ambaye alitoroka kwa kuruka kupitia dirisha la gari wakati wa operesheni hiyo.
Advertisement
August 17, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing