Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anasema serikali ya Linda Mwananchi itazingatia urithi na maadili ya marehemu Raila Odinga iwapo itaunda serikali ijayo. Akizungumza katika mkutano huko Homa Bay, Sifuna aliishutumu serikali ya sasa kwa kukiuka haki za binadamu, akitoa mfano wa kifo cha mwanablogu Albert Ojwang akiwa kizuizini mwa polisi. Alitaka uwajibikaji na heshima kwa haki za binadamu, alipokuwa akiwahutubia wafuasi katika mkutano wa kisiasa.
EDWIN SIFUNA – PLEDGE