Rais wa zamani wa LSK Faith Odhiambo ametoa wito wa kukomeshwa kwa vurugu za kisiasa, akiwaonya Wakenya dhidi ya kuchochewa kushambuliana. Anasema Wakenya hawapaswi kuruhusu damu yao kumwagika kutokana na tofauti za kisiasa, akiwahimiza viongozi na wafuasi wao kukumbatia uvumilivu kabla ya uchaguzi.
FAITH ODHIAMBO – REJECT