Chama cha Wamiliki wa Matatu kimelaani shambulio linalodaiwa la abiria wa miaka 19 na dereva wa matatu akiwa na kisu. Mwenyekiti wa Chama hicho Albert Karacacha anasema silaha haziruhusiwi katika magari ya usafiri wa umma na amewasihi NTSA na polisi kumkamata dereva anayeshukiwa na kuiita sacco ya matatu hiyo. Karakacha anasema sacco, na sio wamiliki wa magari, wana jukumu la kuajiri na kuwakagua madereva.


ALBERT KARACACHA – ASSAULT