Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amemwambia Rais William Ruto awache kumlaumu mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, kwa matatizo yanayoikabili serikali yake. Kiongozi huyo wa DCP alimhimiza Ruto kuzingatia kushughulikia changamoto zinazotokana na serikali yake badala ya kutafuta visingizio au kuelekeza lawama kwa serikali iliyopita.

RIGATHI GACHAGUA – UHURU