Kiongozi wa ODM Oburu Oginga anasema Kenya lazima iwekeze sana katika kuelimisha na kutoa mafunzo kwa vijana ili kuvutia uwekezaji wa kibinafsi na kuunda ajira. Seneta huyo wa Siaya anasema serikali inapaswa kuzingatia miundombinu na kusaidia vyuo vikuu kufanya utafiti unaokidhi mahitaji ya tasnia. Anasema elimu ndiyo njia pekee ya kusawazisha, huku utafiti na uvumbuzi vitasaidia Kenya kuwa na ushindani duniani kote na kupunguza kutegemea wafanyakazi kutoka nje.
OBURU OGINGA - YOUTH