Wabunge kwa sasa wanajadili Mswada unaolenga kuipa NTSA mamlaka ya kudhibiti nauli za magari ya huduma za umma. Mswada huo uliowasilishwa na Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa unaweka mfumo wa kurekebisha nauli za matatu ili kuhakikisha zinabaki kuwa za haki na nafuu kwa abiria. Pia unawataka waendeshaji wa magari ya kifahari kuonyesha orodha za nauli zilizoidhinishwa waziwazi ili abiria waweze kuziona na kuzithibitisha.


VOX POP – BILL