Ni muhimu zaidi kwa viongozi wa kidini kuendelea kutoa matamshi ya kuwasihi Wakenya kudumisha amani huku nchi ikikaribia Uchaguzi Mkuu wa 2027. Hii ni kulingana na Mchungaji Martin Ruwa, ambaye anasema jumbe kama hizo zimekuwa na jukumu muhimu katika kudumisha usalama, haswa wakati wa chaguzi zilizopita. Ruwa anaongeza kuwa pia husaidia kuhakikisha kuwa uchaguzi huru na wa haki unashuhudiwa.


MARTIN RUWA – PEACE