Zaidi ya Wakenya milioni 32 wamesajiliwa chini ya SHA kufikia asubuhi ya leo, Waziri wa Afya Aden Duale amesema. Duale anasema takwimu hiyo ni zaidi ya milioni 8 zaidi ya idadi ya Wakenya waliokuwa chini ya NHIF iliyofutwa. Anaongeza kuwa zaidi ya shilingi bilioni 164 za madai zimelipwa kwa hospitali hadi sasa.

ADEN DUALE – UPDATE