Mwenyekiti wa NCIC Askofu Kepha Omae anasema tume hiyo imeanza kuwashirikisha mabalozi wa amani kote nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Omae anasema mpango huo unalenga kukuza uchaguzi wa amani kwa kushirikisha jamii katika juhudi za kujenga amani. Anasema vijana watakuwa lengo kuu la programu hizo ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika kukuza amani.
KEPHA OMAE – PEACE