Waziri wa Afya Aden Duale anasema wafanyakazi wa UHC wanaogoma tayari wako chini ya masharti ya Kudumu na ya Pensheni. Waziri Duale anasema hatua iliyobaki ni kwa serikali za kaunti kuwabadilisha wafanyakazi hao kutoka kwa mipango ya kimkataba hadi masharti ya kudumu. Anasema mkutano kati ya Kamati ya Afya na Tume ya Ugavi wa Mapato umepangwa kufanyika kesho ili kushughulikia suala hilo.
ADEN DUALE – UHC