Liverpool wamefanya mazungumzo ya awali na Paris Saint-Germain kuhusu uwezekano wa kumsajili Bradley Barcola. Hata hivyo inaeleweka kwamba kuna pengo kubwa katika thamani ya mchezaji huyo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabingwa hao watetezi wa Ligi ya Mabingwa wanamthamini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kwa pauni milioni 145. Msimamo wa PSG kuhusu ada hiyo unafanya iwe vigumu kukamilisha mpango huo katika hatua hii. Reds pia wamefanya mazungumzo ya awali na wawakilishi wa Barcola.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Gilgil, Nakuru na Nyahururu.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.