Baraza la Kitaifa la Kudhibiti Magonjwa linatarajia kubaini idadi ya watu wenye ulemavu wanaoishi na HIV ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. Naibu Mkurugenzi wa Ushirikiano na Utetezi Ruben Musundi anasema uchoraji ramani unaoendelea, unaofanywa kwa ushirikiano na NCPWD na NASCOP, utaongoza matibabu jumuishi ya Virusi vya HIV, utunzaji, na mipango ya afya ya baadaye kwa watu wenye ulemavu wanaoishi na virusi hivyo.
RUBEN MUSUNDI – MAPPING