Chama tawala cha UDA kinaweza kukumbwa na kudorora pakubwa kisiasa katika eneo la Pwani kufuatia uamuzi wa aliyekuwa Waziri wa Jinsia Aisha Jumwa wa kuondoka katika chama hicho. Jumwa inasemekana aliwekeza juhudi na rasilimali nyingi katika kufanya kampeni kwa ajili ya chama hicho wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2022. Inaaminika kwamba kuondoka kwake kunaweza kudhoofisha umaarufu na ushawishi wa UDA katika eneo lote la Pwani.

VOXPOP – AISHA JUMWA