Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka ameionya Tume ya IEBC dhidi ya kuchukua hatua ambazo zinaweza kudhoofisha ratiba ya kikatiba ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kalonzo alisema Katiba haimruhusu mwenyekiti wa IEBC kutishia kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na kuongezeka kwa mvutano wa kisiasa. Aliitaka tume hiyo kubaki bila upendeleo na kuhakikisha uchaguzi unafanywa ndani ya muda uliowekwa na sheria.



KALONZO MUSYOKA –POLLS