Spika wa Seneti Amason Kingi anasema Seneti ya Nne imeimarisha ugatuzi kwa kuongeza mgao sawa wa mapato ya kaunti hadi Ksh bilioni 428 katika mwaka wa fedha wa 2026/27. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kipimo cha Utendaji wa Fedha za Kaunti, Kingi pia alitaja mageuzi yanayotoa uhuru wa kifedha kwa mabunge ya kaunti, akisema yameimarisha usimamizi na kuboresha uwajibikaji katika serikali za kaunti.
AMASON KINGI – ACCOUNTABILITY