Naibu Rais Kithure Kindiki ametoa wito kwa viongozi wa upinzani wanaohisi wamekata tamaa ndani ya upinzani kujiunga na utawala wa Kenya Kwanza. Kindiki aliwasihi kuweka kando tofauti za zamani na kufanya kazi pamoja na utawala kama sehemu ya jamii iliyoungana, akisisitiza kwamba maendeleo ya pamoja yanahitaji heshima na ushirikiano wa pande zote badala ya uadui unaoendelea. 

 KITHURE KINDIKI - JOIN