Ibada ya pamoja ya mazishi ya waathiriwa 10 waliofariki katika ajali ya barabarani ya Jumamosi asubuhi huko Murubara kwenye Barabara Kuu ya Mwea-Embu itafanyika leo katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti kabla ya miili kusafirishwa hadi majumbani mwao kwa mazishi. Wanane kati ya waathiriwa hao walikuwa kutoka Kimbimbi, mmoja kutoka Nderwa na mwingine kutoka Kerugoya, ambaye alikuwa akisafiri kwa lori la mizigo.
VOX POP – BURIAL