Mtafiti wa afya ya akili marehemu Dkt. Victoria Mutiso atazikwa leo nyumbani kwake Mbooni, Kaunti ya Makueni. Ibada ya mazishi ilifanyika jana katika Kanisa la CITAM, Nairobi ambapo waombolezaji walimtaja kama mtu mtulivu na mchangamfu. Alipigwa risasi na washambuliaji mwezi uliopita kwenye Barabara ya Ralph katika eneo la Upper Hill jijini Nairobi alipokuwa akielekea kazini.
VOX POP – SERVICE