Jukwaa la Haki za Wanubi limelaani vifo vinavyotokea mara kwa mara vya Wakenya wakiwa chini ya ulinzi wa polisi, likivielezea kuwa havikubaliki. Mkurugenzi Shafi Hussein anasema ukatili wa polisi lazima ukome, akiongeza kuwa ahadi za IPOA za kuchunguza haziaminiki tena kwa sababu shirika hilo halina uhuru.
SHAFI HUSSEIN - DEATHS