Upinzani ulioungana bado una muda wa kutosha wa kuamua mgombea wa pamoja wa urais kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua anasema lengo la sasa ni kujenga muungano wa upinzani wenye nguvu unaoweza kumshinda Rais William Ruto kabla ya majadiliano kuhusu ni nani atakayechukua tiketi ya urais ya muungano huo.
RIGATHI GACHAGUA – SUPPORT