Mbunge wa Mukurwe-ini John Kaguchia anadai kwamba Serikali inajaribu kumtisha kufuatia kukamatwa kwake na kufikishwa mahakamani kutokana na matamshi yake huko Nyeri. Hata hivyo, mbunge huyo ameapa kuendeleza ukosoaji wake dhidi ya serikali licha ya vitisho hivyo.

JOHN KAGUCHIA – INTIMIDATION