Muungano wa madaktari nchini KMPDU na Chama cha Wafanyakazi wa Kaunti watatoa notisi ya mgomo hapo kutokana na kucheleweshwa kwa mishahara. Naibu Katibu Mkuu Dennis Miskellah anasema baadhi ya wafanyakazi wa afya wa kaunti wamekwenda kwa miezi mitatu bila malipo licha ya kaunti kupokea fedha kutoka Hazina ya Kitaifa.

 

DENNIS MISKELLAH – COUNTY