Muungano wa madaktari KMPDU umekaribisha uzinduzi wa mfumo wa ambulensi unaotegemea bima, ukisema unaweza kuboresha upatikanaji wa huduma za dharura. Katibu Mkuu Davji Atella anasema utekelezaji uliofanikiwa utakuwa muhimu katika kuhakikisha wagonjwa wengi zaidi wananufaika na huduma hiyo.


DAVJI ATELLA – AMBULANCE