Tofauti za kisiasa miongoni mwa vyama vya Mlima Kenya hazitarajiwi kuathiri pakubwa mifumo ya upigaji kura katika eneo hilo. Mchambuzi wa kisiasa Herman Manyora anasema vyama vidogo havina uungwaji mkono mkubwa kivyao na vinaweza kufuatilia maslahi yao huku vikiunga mkono DCP, kwani kubaki kando au kujiunga na serikali hakuna tofauti kubwa.


 

HERMAN MANYORA – PARTIES