TSC imemulikwa kwa kuwatenga walimu wa JSS kutoka kwa zoezi linaloendelea la kupandishwa cheo. Seneta Mteule Esther Okenyuri anasema hii imewaacha maelfu ya walimu bila njia iliyo wazi ya kuendelea kazini. Anataka kamati ya Elimu kuingilia kati baada ya walimu kuishutumu tume hiyo kwa kuwatenga licha ya kukidhi sifa zinazohitajika.

ESTHER OKENYURI – TEACHERS