Ivory Coast wametangaza uteuzi wa Hervé Renard kama kocha wao mkuu mpya, huku Mfaransa huyo akirejea katika nafasi hiyo miaka 11 baada ya kuwaongoza Elephants kutwaa ubingwa wa AFCON. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 57 anarithi nafasi ya Emerse Faé, ambaye aliondoka wadhifa wake Jumapili mwishoni mwa mkataba wake, licha ya kuwaongoza Elephants hadi hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia yao. Renard amekuwa hana kazi tangu aondoke Tunisia mwishoni mwa kampeni yao ya hatua ya makundi.




Jua linashuhudiwa Naivasha, Gilgil na Nakuru.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.