Serikali imeapa kuongeza msako wake dhidi ya magenge ya wahalifu yanayodaiwa kutumika kwa shughuli zinazohusiana na siasa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen alisema operesheni hiyo inaendelea na tayari imerekodi maendeleo makubwa. Alisema vyombo vya usalama vitaendelea kuwafuatilia waliohusika na kuimarisha hatua za utekelezaji ili kuhakikisha amani na utulivu huku nchi ikijiandaa kwa uchaguzi.
KIPCHUMBA MURKOMEN-GOONS