Rais William Ruto ametetea uungaji mkono wake kwa shughuli za kidini, akisema unalenga kuimarisha imani ya Wakenya kwa Mungu. Akizungumza katika Ikulu alipokuwa akiwakaribisha maimamu zaidi ya 9,000, Rais alisema dini ina jukumu muhimu katika kutoa mwongozo wa maadili na mwelekeo maishani. Alisisitiza kwamba kuunga mkono taasisi za kidini ni muhimu katika kukuza maadili na mshikamano wa kijamii kote nchini.

WILLIAM RUTO –SUPPORT