Kiongozi wa ODM Oburu Oginga amemtetea Rais William Ruto dhidi ya ukosoaji kuhusu kuongezeka kwa deni la umma, akisema kwamba kukopa kwa serikali ni kufadhili programu zinazowanufaisha moja kwa moja Wakenya wa kawaida badala ya kuwatajirisha watu binafsi. Seneta huyo wa Siaya alisema athari za miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na serikali tayari inaonekana kote nchini.
OBURU OGINGA - BORROWING