Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) imeibua wasiwasi kuhusu mgogoro unaoongezeka wa afya ya akili miongoni mwa watumishi wa umma, ikionya kwamba visa vinavyoongezeka vya mafadhaiko, msongo wa mawazo na majeraha vinaathiri sana nguvu kazi. Kamishna wa PSC Boya Molu anasema watumishi wengi wa umma wanapambana kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mzigo mkubwa wa kazi, deni la kifedha na shinikizo la kifamilia, mambo ambayo yanaathiri ustawi wao na utendakazi.

BOYA MOLU – MENTAL ISSUES